Tanzania (foreign ministry) (TZA)
Tanzania Press release: Trade and economic relations
2026-10-03 · data through 29 Nov 2026, 21:30 UTC
SW · statement #34521 ·
- Who
- Tanzania (foreign ministry) · Tanzania
- Topic
- Trade and economic relations
- Event
- No event linked
No claim toward a country was found in this statement.
Positions are machine-coded from the highlighted sentence. How claims are read and which are shown
Mhe. Ndejembi pia alisisitiza umuhimu wa kuendelea kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na sekta binafsi, uwekezaji unaovuka mipaka na kuunganisha uchumi wa nchi za Afrika ili kuongeza uzalishaji, ajira, biashara na thamani ya rasilimali zinazozalishwa barani.
Aidha, ameeleza kuwa Tanzania itaendelea kushirikiana na nchi nyingine za Afrika, hususan Afrika Mashariki, katika kutekeleza miradi ya kimkakati ya miundombinu, ikiwemo reli, nishati, mafuta na bandari, kwa lengo la kurahisisha usafirishaji wa bidhaa na kuchochea biashara na mtangamano wa kikanda. …Full original text (SW, 1,127 Characters) ▾
Mhe. Ndejembi pia alisisitiza umuhimu wa kuendelea kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na sekta binafsi, uwekezaji unaovuka mipaka na kuunganisha uchumi wa nchi za Afrika ili kuongeza uzalishaji, ajira, biashara na thamani ya rasilimali zinazozalishwa barani. Aidha, ameeleza kuwa Tanzania itaendelea kushirikiana na nchi nyingine za Afrika, hususan Afrika Mashariki, katika kutekeleza miradi ya kimkakati ya miundombinu, ikiwemo reli, nishati, mafuta na bandari, kwa lengo la kurahisisha usafirishaji wa bidhaa na kuchochea biashara na mtangamano wa kikanda. Jukwaa hilo lilifunguliwa na Rais wa Misri, Mhe. Abdel Fattah El-Sisi, na Rais wa Burundi na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, Mhe. Évariste Ndayishimiye, likiwakutanisha viongozi wa Serikali, taasisi za fedha na sekta binafsi kutoka Afrika na maeneo mengine duniani. Jukwaa la Biashara la Alamein Afrika (Alamein Afrika Business Forum) lililofanyika kwa mara ya kwanza linalenga kuunganisha Serikali, sekta binafsi, taasisi za fedha na wadau wengine wa maendeleo ili kuimarisha biashara, uwekezaji, ubia wa sekta ya umma na binafsi na utekelezaji wa Agenda 2063.
Machine translation (english, opus-mt:mul-en), not checked by a person ▾
Mr. Pia’s role as a leader of the trade union between Sericali and sectarian trade, the trader who emerged from markets and collected African coins in addition to salshaji, rice, and rasilica was to be completed by whom. Aidha, who claims that Tanzania is on its way to associate with the African continent, hassan Africa Mashariki, stops producing midgets, rice, rice, oil and bananas, at the port of healing the drug trader and extracting goods from the paper press. This is what Rais of Egypt, May. Abdel Fattah El-Sisi, and Rais of Burundi and the United States of Africa, Ms. Évariste Tayishimye, together with Serikali’s leaders, is the trade of faith in sub - Saharan Africa. Jukwaa la Biashara La Alamain Africa (Alameen African Business Forum) is an example of the mansion that was created to gather Serikali, a branch office, and a traveling engineer who works as a mascarlet, a waiter, a waitress, a queen’s son - in - law, and an agent for Agenda 2063.