Tanzania (foreign ministry) (TZA)
Tanzania Press release: STATEMENT
2026-10-03 · data through unknown
SW · statement #34520 ·
- Who
- Tanzania (foreign ministry) · Tanzania
- Topic
- No topic assigned
- Event
- No event linked
No claim toward a country was found in this statement.
Positions are machine-coded from the highlighted sentence. How claims are read and which are shown
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amezitaka nchi za Afrika kuongeza kasi ya kutekelezaji wa makubaliano, sera na mikakati ya pamoja ya maendeleo ili kutumia kikamilifu fursa na rasilimali zilizopo barani humo kwa manufaa ya wananchi.
Mkamu wa Rais Mhe. Ndejembi alitoa rai hiyo Oktoba 3, 2026, wakati akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. …Full original text (SW, 1,359 Characters) ▾
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amezitaka nchi za Afrika kuongeza kasi ya kutekelezaji wa makubaliano, sera na mikakati ya pamoja ya maendeleo ili kutumia kikamilifu fursa na rasilimali zilizopo barani humo kwa manufaa ya wananchi. Mkamu wa Rais Mhe. Ndejembi alitoa rai hiyo Oktoba 3, 2026, wakati akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika majadiliano ya ngazi ya juu ya Alamein Africa Business Forum yaliyofanyika jijini El- Alamein, Misri. Alisema kuwa Afrika ina mipango na maono mazuri ya maendeleo, isipokuwa inakabiliwa changamoto katika utekelezaji wa makubaliano na mipango hiyo ili ilete matokeo yanayoonekana kwa wananchi. Vilevile, Makamu wa Rais Mhe. Ndejembi alisisitiza kuwa Afrika inahitaji kujenga uchumi unaostahimili misukosuko ya nje kwa kuongeza uzalishaji, kuimarisha biashara ya ndani ya bara, pamoja na kuwekeza katika nishati, miundombinu, viwanda na teknolojia. Akieleza hatua zinazochukuliwa na Tanzania, Makamu wa Rais alitaja uwekezaji katika sekta ya nishati, ukiwemo Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) wenye uwezo wa kuzalisha Megawati 2,115, na kutekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, ambayo imeweka nishati na miundombinu miongoni mwa maeneo muhimu ya kuchochea uzalishaji, viwanda na mageuzi ya kiuchumi.
Machine translation (english, opus-mt:mul-en), not checked by a person ▾
Highlights From 1 Kings, 2 / 15 Degoratius Ndejembi, who is responsible for the addition of Africa’s convention telecoms, and between the middle of the marches are sending out a full - fledged fur bag with missiles. Rais Mhe. I was a full - time minister on October 3, 2026, when he released Rais of the Tanzanian Congregation Hall. Dr. Samia Suluhu Hassan, who founded the Jewish jury of Alamain Africa Business Forum on El-Alamein, Egypt. Alisema from Africa has six - and - a - half - hour walks, the train station is set on fire while its traffic lights are being turned toward the Czechs. The Society of Rais Mhe. The prosecutor insists that Africa has a high rate of obesity, which is only associated with increased algae intake, cirrhosis of the liver, kidney failure, lung cancer, and technology. As a result of the well - known discovery by Tanzania’s Rais ’ Teams, it is estimated that during the second half century C.E., the Death march of Julius Nérele (JNHPP) one of Megabati 2,115, and the 2050 Taifa district of Taifa, where trees and cheetah are grown into clusters of iron in the task of removing alshaji, many with tens of thousands.